sw_gen_text_reg/27/43.txt

1 line
326 B
Plaintext

\v 43 Kwa hiyo sasa, mwanangu, unisikie na kukimbilia kwa Labani, ndugu yangu, huko Harani. \v 44 Ukae naye kitambo, mpaka hasira ya ndugu yako itakapopungua, \v 45 hata hasira ya ndugu yako itakapokuondokea, na kusahau ulivyomtenda. Kisha nitatuma na kukurudisha kutoka pale. Kwa nini niwapoteze ninyi nyote katika siku moja?