sw_gen_text_reg/27/41.txt

1 line
380 B
Plaintext

\v 41 Esau akamchukia Yakobo kwa sababu ya baraka ambayo baba yake alimpa. Esau akajisemea moyoni, "Siku za maombolezo kwa ajili ya baba yangu zinakaribia; baada ya hapo nitamwua Yakobo ndugu yangu." \v 42 Rebeka akaambiwa maneno ya Esau mwanawe mkubwa. Hivyo akatuma na kumwita Yakobo mwanawe mdogo na kumwambia, "Tazama, Esau ndugu yako anajifariji juu yako kwa kupanga kukuuwa.