sw_gen_text_reg/27/36.txt

1 line
387 B
Plaintext

\v 36 Esau akasema, "Je hakuitwa Yakobo kwa haki? Kwa maana amenidanganya mara mbili hizi. Alichukua haki ya uzaliwa wangu wa kwanza, na tazama, sasa amechukua baraka yangu." Na akasema, "Je haukuniachia baraka? \v 37 Isaka akajibu na kumwambia Esau, "Tazama, nimemfanya kuwa bwana wako, na nimempa ndugu zake kuwa watumishi wake. Na nimempa nafaka na divai. Je nikufanyie nini mwanangu?