sw_gen_text_reg/27/32.txt

1 line
263 B
Plaintext

\v 32 Isaka baba yake akamwambia, "U nani wewe? Akasema, "Mimi ni mwanao, Esau, mzaliwa wako wa kwanza." \v 33 Isaka akatetemeka sana na kusema, "Alikuwa nani aliyewinda mawindo nakuniletea? Nilikula chote kabla haujaja, nami nimembariki. Atabarikiwa, kwa kweli."