sw_gen_text_reg/27/22.txt

1 line
257 B
Plaintext

\v 22 Yakobo akamkaribia Isaka baba yake; na Isaka akamgusa na kusema, "Sauti ni sauti ya Yakobo, lakini mikono ni mkikono ya Esau." \v 23 Isaka hakumtambua, kwa sababu mikono yake ilikuwa na manyoya, kama mikono ya Esau ndugu yake, hivyo Isaka akambariki."