sw_gen_text_reg/27/20.txt

1 line
262 B
Plaintext

\v 20 Isaka akamwambia mwanawe, "Imekuwaje umepata kwa haraka hivyo, mwanangu?" Akasema, "Ni kwa sababu Yahwe Mungu wako ameniletea." \v 21 Isaka akamwambia Yakobo, "Njoo karibu nami, ili nikuguse, mwanangu, ili nijue kama kweli wewe ni mwanangu Esau au hapana."