sw_gen_text_reg/27/18.txt

1 line
269 B
Plaintext

\v 18 Yakobo akaenda kwa baba yake na kumwambia, "Babangu." Yeye akasema, "Mimi hapa; U nani wewe, mwanangu?" \v 19 Yakobo akamwambia baba yake, "Mimi ni Esau mzaliwa wako wa kwanza; nimefanya kama ulivyoniagiza. Basi kaa na ule sehemu ya mawindo yangu, ili unibariki."