sw_gen_text_reg/27/11.txt

1 line
231 B
Plaintext

\v 11 Yakobo akamwambia Rebeka mama yake, "Tazama, Ndugu yangu Esau ni mtu mwenye manyoya, na mimi ni mtu laini. \v 12 Pengine baba yangu atanigusa, nami nitaonekana kama mdanganyifu kwake. Nami nitajiletea laana badala ya baraka."