sw_gen_text_reg/27/08.txt

1 line
290 B
Plaintext

\v 8 Kwa hiyo sasa, mwanangu, usikilize sauti yangu kama ninavyokuagiza, \v 9 Nenda kundini, na uniletee wanambuzi wawili; nami nitaandaa chakula kitamu kutokana nao kwa ajili ya baba yako, kwa namna aipendayo. \v 10 Utakipeleka kwa baba yako, ili kwamba akile, na kukubariki kabla hajafa."