\v 1 Isaka alipozeeka na macho yake kuwa mazito kiasi cha kutokuona, alimwita Esau, mwanawe mkubwa, na akamwambia, "Mwanangu. Yeye akasema, "Mimi hapa." \v 2 Akamwambia, "Tazama, mimi nimezeeka. Sijui siku ya kufa kwangu.