sw_gen_text_reg/24/66.txt

1 line
225 B
Plaintext

\v 66 Mtumwa akamwambia Isaka mambo yote ambayo amefanya. \v 67 Kisha Isaka akamleta katika hema ya Sara mama yake na akamchukua Rebeka, na akawa mke wake, na akampenda. Kwa hiyo Isaka akafarijika baada ya kifo cha mama yake.