sw_gen_text_reg/24/63.txt

1 line
341 B
Plaintext

\v 63 Isaka akaenda kutafakari shambani jioni. Alipotazama akaona, natazama, kulikuwa na ngamia wakija! \v 64 Rebeka akatazama na alipomwona Isaka, akaruka kutoka kwenye ngamia. \v 65 Akamwambia mtumwa, "mtu huyo ni nani anaye tembea shambani akija kutupokea?" Mtumwa akasema, "Ni bwana wangu." Hivyo Rebeka akachukua shela yake akajifunika.