sw_gen_text_reg/24/59.txt

1 line
288 B
Plaintext

\v 59 Kwa hiyo wakampeleka dada yao Rebeka, pamoja na watumishi wake wa kike, kwenda njiani pamoja na mtumishi wa Abraham na watu wake. \v 60 Wakambarikia Rebeka, na wakamwambia, "Ndugu yetu, na uwe mama wa maelfu na wa makumi elfu, uzao wako upate kumiliki lango la wale wanao wachukia."