sw_gen_text_reg/24/56.txt

1 line
255 B
Plaintext

\v 56 Lakini akawambia, msinizuie, kwa kuwa Yahwe amefanikisha njia yangu. Niruhusuni niende kwa bwana wangu." \v 57 Wakasema, "Tutamwita binti na kumuuliza." \v 58 Kwa hiyo wakamwita Rebeka na kumuuliza, "Je utakwenda na mtu huyu?" Akajibu, "Nitakwenda."