sw_gen_text_reg/24/50.txt

1 line
243 B
Plaintext

\v 50 Ndipo Labani na Bethueli wakajibu na kusema, "Jambo hili limetoka kwa Yahwe; hatuwezi kusema kwako aidha neno baya au zuri. \v 51 Tazama, Rebeka yu mbele yako. Mchukue na uende, ili awe mke wa mtoto wa bwana wako, kama Yahwe alivyosema."