sw_gen_text_reg/24/42.txt

1 line
515 B
Plaintext

\v 42 Hivyo nimefika leo kisimani, na nikasema, 'O Yahwe, Mungu wa bwana wangu Abraham, tafadhari, ikiwa kweli umekusudia kuifanya safari yangu kuwa yenye kufanikiwa - \v 43 tazama niko hapa nimesimama karibu na kisima cha maji - na iwe kwamba binti ajaye kuchota maji, nitakaye mwambia, "Tafadhari unipatie maji kidoka kutoka kwenye mtungi wako ninywe," mwanamke atakaye niabia, \v 44 "Kunywa, na nitakuchotea pia maji kwa ajili ya ngamia wako" - na awe ndiye ambaye wewe Yahwe, umemchagulia mtoto wa bwana wangu."