sw_gen_text_reg/24/33.txt

1 line
365 B
Plaintext

\v 33 Wakaandaa chakula mbele yake ale, lakini akasema, "Sitakula mpaka niseme kile ninacho paswa kusema." Kwa hiyo Labani akmwambia, "Sema." \v 34 Akasema, "Mimi ni mtumwa wa Abraham. \v 35 Yahwe amembariki sana bwana wangu na amekuwa mtu mkuu. Amempatia mifugo na makundi ya wanyama, fedha, dhahabu, watumwa wa kiume na watumwa wa kike, pamoja na ngamia na punda.