sw_gen_text_reg/24/26.txt

1 line
276 B
Plaintext

\v 26 Kisha yume mtu akainama chini na kumwabudu Yahwe. \v 27 Akasema, "Abarikiwe Yahwe, Mungu wa bwana wangu Abraham, ambaye hakuacha agano lake la uaminifu na kweli yake mbele ya bwana wangu. Kwa vile Yahwe ameniongoza moja kwa moja kwenye nyumba ya ndugu zake bwana wangu."