sw_gen_text_reg/24/19.txt

1 line
297 B
Plaintext

\v 19 Alipokuwa amemaliza kumpatia maji, akasema, "Nitachota maji kwa ajili ya ngamia wako pia, mpaka watakapomaliza kunywa." \v 20 Hivyo akaharakisha akamwaga maji yaliyokuwa mtungini kwenye chombo cha kunywshea mifugo, kisha akakimbia tena kisimani kuchota maji, na kuwanywesha ngamia wake wote.