sw_gen_text_reg/24/17.txt

1 line
264 B
Plaintext

\v 17 Kisha mtumwa yule akakimbia kumlaki yule msichana, na kusema, "Tafadhari nipatie maji kidogo ya kunywa kutoka katika mtungi wako." \v 18 Akasema, "kunywa tafadhari bwana wangu," na kwa haraka akatua mtungi wake juu ya mkono wake, na akampatia maji ya kunywa.