sw_gen_text_reg/23/07.txt

1 line
385 B
Plaintext

\v 7 Abraham akainuka na kusujudu chini kwa watu wa nchi ile, kwa wana wa Hethi. \v 8 Akawaambia, akisema, "ikiwa mmekubali mimi kuzika wafu wangu, ndipo nisikilizeni, msihini Efroni mwana wa Sohari kwa ajili yangu. \v 9 Mwambieni aniuzie pango la Makpela, ambalo analimiliki, ambalo liko mwishoni mwa shamba lake. Kwa bei kamili aniuzie waziwazi mbele ya watu kama miliki ya kuzikia."