sw_gen_text_reg/22/13.txt

1 line
318 B
Plaintext

\v 13 Abraham akatazama juu na tazama, nyuma yake kulikuwa na kondoo mume amenaswa pembe zake kichakani. Abraham akaenda akamchukua kondoo na akamtoa kama sadaka ya kuteketezwa badala ya mwanawe. \v 14 Kwa hiyo Abraham akapaita mahali pale, Yahwe atatoa," na panaitwa hivyo hata leo. "Juu ya mlima wa Yahwe itatolewa."