sw_gen_text_reg/22/11.txt

1 line
306 B
Plaintext

\v 11 Ndipo malaika wa Yahwe akamwita kutoka mbinguni na kusema, "Abraham, Abraham!" naye akasema, "Mimi hapa." \v 12 Akasema, "usinyooshe mkono wako juu ya kijana, wala usifanye jambo lolote kumdhuru, kwa kuwa sasa najua unamcha Mungu, kwa kuona kuwa hukumzuilia mwanao, mwanao wa pekee, kwa ajili yangu."