sw_gen_text_reg/22/04.txt

1 line
386 B
Plaintext

\v 4 Siku ya tatu Abraham akatazama juu na akaona mahali pakiwa mbali. \v 5 Abraham akawambia vijana wake, "kaeni hapa pamoja na punda, mimi pamoja na Isaka tutakwenda pale. Tutaabudu na kisha tutarudi hapa penu." \v 6 Ndipo Abraham akachukua kuni kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa akaziweka juu ya Isaka mwanawe. Mkononi mwake akachukua moto na kisu; na wote wawili wakaondoka pamoja.