sw_gen_text_reg/21/33.txt

1 line
174 B
Plaintext

\v 33 Abraham akapanda mti wa mkwaju katika Beerisheba. Na pale akamwabudu Yahwe, Mungu wa milele. \v 34 Abraham akasalia kuwa mgeni katika nchi ya Wafilisti kwa siku nyingi.