sw_gen_text_reg/21/28.txt

1 line
307 B
Plaintext

\v 28 Kisha Abraham akatenga wanakondoo wa kike saba pekeyao. \v 29 Abimeleki akamwambia Abraham, "Nini maana ya hawa wanakondoo wa kike saba ambao umewatenga pekeyao?" \v 30 Akajibu, "Hawa wanakondoo wa kike saba utawapokea kutoka mkonono mwangu, ili kwamba uwe ushahidi kwangu, kuwa nichimba kisima hiki."