sw_gen_text_reg/21/25.txt

1 line
334 B
Plaintext

\v 25 Abraham pia akamlalamikia Abimeleki kuhusu kisima cha maji ambacho watumishi wa Abimeleki wamekinyang'anya. \v 26 Abimeleki akasema, "Sijui ni nani amefanya jambo hili. Hukuniambia mapema; na sijalisikia ila leo hii." \v 27 Kwa hiyo Abraham akachukua kondoo na ng'ombe maksai akampatia Abimeleki, na wawili hawa wakafanya agano.