sw_gen_text_reg/21/10.txt

1 line
245 B
Plaintext

\v 10 Kwa hiyo akamwambia Abraham, "Mfukuze huyu mwanamke huyu mtumwa pamoja na mtoto wake: kwa kuwa mtoto huyu wa mwanamke mtumwa hawezi kuwa mrithi pamoja na mwanangu Isaka." \v 11 Jambo hili likamuhuzunisha sana Abraham kwa sababu ya mwanawe.