sw_gen_text_reg/19/34.txt

1 line
376 B
Plaintext

\v 34 Siku iliyo fuata yule wa kwanza akamwambia mdogowake, "Sikiliza, usiku wa jana nililala na baba yangu. Na tumnyweshe mvinyo usiku wa leo pia, na uingie ukalale naye. Ili kwamba tuendeleze uzao wa baba yetu." \v 35 Kwa hiyo wakamnywesha baba yao mvinyo usiku ule pia, na yule mdogo akaenda na akalala naye. Baba yake hakujua ni wakati gani alilala, wala wakati alipoamka.