sw_gen_text_reg/19/23.txt

1 line
281 B
Plaintext

\v 23 Jua lilikuwa limekwisha chomoza juu ya nchi wakati Lutu alipofika Soari. \v 24 Kisha Yahwe akanyesha juu ya Sodoma na Gomora kiberiti na moto toka kwa Yahwe mbinguni. \v 25 Akaharibu miji ile, na bonde lote, na vyote vilivyomo katika miji, na mimea iliyo chipua juu ya ardhi.