\v 21 Akamwambia, "Sawa, nimekubali ombi hili pia, kwamba sitaangamiza mji ambaoumeutaja. \v 22 Harakisha! toroka uende pale, kwa kuwa sitafanya chochote mpaka ufike pale." kwa hiyo mji ule ukaitwa Soari.