sw_gen_text_reg/19/10.txt

1 line
249 B
Plaintext

\v 10 Lakini wale wanaume wakamkamata Lutu na kumweka ndani na wakafunga mlango. \v 11 Kisha wale wageni wa Lutu wakawapiga kwa upofu wale wanaume waliokuwa nje ya nyumba, vijana na wazee kwa pamoja, kiasi kwamba wakachoka wakati wakiutafuta mlango.