sw_gen_text_reg/19/06.txt

1 line
344 B
Plaintext

\v 6 Lutu akatoka nje na akafunga mlango. \v 7 Akasema, "Nawasihi, ndugu zangu, msitende uovu. \v 8 Tazama, nina mabinti wawili ambao hawajawahi kulala na mwanaume yeyote. Nawaomba tafadhari niwalete kwenu, na muwafanyie lolote muonalo kuwa jema machoni penu. Msitende lolote kwa wanaume hawa, kwa kuwa wamekuja chini ya kivuli cha dari yangu."