sw_gen_text_reg/18/32.txt

1 line
279 B
Plaintext

\v 32 Akasema, "Tafadhali usikasirike, Bwana, na nitasema jambo hili kwa mara ya mwisho. Huenda kumi wakaonekana kule." Na akasema, sitaangamiza kwa ajili ya hao kumi." \v 33 Yahwe akaendelea na njia yake mara tu baada ya kumaliza kuongea na Abraham, na Abraham akarudi nyumbani.