sw_gen_text_reg/18/29.txt

1 line
421 B
Plaintext

\v 29 Akaongea naye tena, na kusema, "Itakuwaje ikiwa arobaini watapatikana pale?" Akajibu, "Sitafanya kwa ajili ya hao arobaini." \v 30 Akasema, Tafadhali usikasirike, Bwana, nikiongea. Pengine thelathini watapatikana pale." Akajibu, 'Sitafanya, ikiwa nitapata thelathini pale." \v 31 Akasema, Tazama, Nimeshika kusema na Bwana wangu! Pengine ishirini watapatikana pale." Akajibu, "Sitaharibu kwa ajili ya hao ishirini."