sw_gen_text_reg/18/27.txt

1 line
316 B
Plaintext

\v 27 Abraham akajibu na kusema, "Tazama, Nimeshika kusema na Bwana wangu, hata kama mimi ni mavumbi na majivu! \v 28 Itakuwaje ikiwa kuna watano pungufu katika idadi ya hao watakatifu hamsini? Je utaangamiza mji wote kwa upungufu wa hao watano?" Akasema, "Sitaangamiza, ikiwa nitapata watu arobaini na watano pale."