sw_gen_text_reg/18/22.txt

1 line
210 B
Plaintext

\v 22 Kwa hiyo wale wanaume wakageuka toka pale, na kuelekea Sodoma, lakini Abraham akabaki amesimama mbele ya Yahwe. \v 23 Kisha Abraham alikaribia na kusema, "Je utawafutilia mbali watakatifu pamoja na waovu?