sw_gen_text_reg/18/20.txt

1 line
225 B
Plaintext

\v 20 Kisha Yahwe akasema, "Kwa sababu kilio cha Sodoma na Gomora ni kikuu, na kwa kuwa dhambi yao ni kubwa, \v 21 sasa nitashuka pale na kuona kilio kilicho nifikia dhidi yake, ikiwa kweli wamefanya au hawakufanya, nitajua."