sw_gen_text_reg/18/13.txt

1 line
386 B
Plaintext

\v 13 Yahwe akamwambia Abraham, "Kwa nini Sara amecheka na kusema, Je ni kweli nitazaa mtoto, nikiwa mzee'? \v 14 Je kuna jambo lolote gumu sana kwa Yahwe? Itakuwa katika wakati nilioweka mimi majira ya machipuko, nitarejea kwako. Majira haya mwakani Sara atakuwa na mtoto wa kiume." \v 15 Kisha Sara akakataa na kusema, "sikucheka," kwa kuwa aliogopa. Yahwe akasema, "hapana ulicheka."