sw_gen_text_reg/18/11.txt

1 line
277 B
Plaintext

\v 11 Abraham na Sara walikuwa wazee, umri wao ulikuwa umeendelea sana, na Sara alikuwa amepita umri ambao mwanamke anaweza kuzaa watoto. \v 12 Kwa hiyo Sara akajicheka mwenyewe, akijisemesha mwenyewe, "baada ya kuwa nimechakaa na bwana wangu ni mzee, je ni tapata furaha hii?"