sw_gen_text_reg/18/09.txt

1 line
240 B
Plaintext

\v 9 Wakamwambia, "Mke wako Sara yuko wapi?" akajibu. "pale hemani." \v 10 akasema, "Hakika nitarejea kwako majira ya machipuko, na tazama Sara mkeo atakuwa na mtoto wa kiume." Sara alikuwa akisikiliza mlangoni pa hema iliyokuwa nyuma yake.