sw_gen_text_reg/18/03.txt

1 line
367 B
Plaintext

\v 3 Akasema, "Bwana, kama nimepata upendelea machoni pako, nakuomba usinipite na kuniacha mtumishi wako. \v 4 Naomba maji kidogo yaletwe, mnawe miguu yenu, na mjipumzishe chini ya mti. \v 5 Nami acha nilete chakula kidogo, ili kwamba mjiburudishe wenyewe. Ndipo baadae mwaweza kwenda zenu, kwa kuwa mmekuja kwa mtumishi wenu." Nao wakasema, "Fanya kama ulivyo sema."