sw_gen_text_reg/16/09.txt

1 line
218 B
Plaintext

\v 9 Malaika wa Yahwe akamwambia, " Rudi kwa bibi yako, na unyenyekee chini ya mamlaka yake." \v 10 Kisha Malaika wa Yahwe akamwambia, "Nitazidisha uzao wako maradufu, kiasi kwamba watakuwa wengi wasioweza kuhesabika."