sw_gen_text_reg/14/19.txt

1 line
232 B
Plaintext

\v 19 Alimbariki akisema, "Abarikiwea Abram na Mungu aliye juu sana, muumba wa mbingu na nchi. \v 20 Abarikiwe Mungu aliye juu sana, ambaye amekupatia adui zako katika mikono yako." Kisha Abram akampatia sehemu ya kumi ya kila kitu.