sw_gen_text_reg/13/14.txt

1 line
218 B
Plaintext

\v 14 Yahwe akamwambia Abram baada ya Lutu kuondoka kwake, "Angalia kuanzia mahali ulipo simama hadi kaskazini, kusini, mashariki, na magharibi. \v 15 Nchi yote hii uionayo, nitakupatia wewe pamoja na uzao wako milele.