sw_gen_text_reg/13/01.txt

1 line
198 B
Plaintext

\v 1 Kwa hiyo Abram akaondoka akatoka Misri na akaenda Negebu, Yeye, mke wake, na vyote alivyokuwa navyo. Lutu pia akaenda pamoja naye. \v 2 Na sasa Abram alikuwa tajiri wa mifugo, fedha na dhahabu.