sw_gen_text_reg/12/10.txt

1 line
456 B
Plaintext

\v 10 Kulikuwa na njaa katika nchi, kwa hiyo Abram akaenda kukaa Misri, kwa kuwa njaa ilikua kali katika nchi. \v 11 Wakati alipokaribia kuingia Misri, akamwambia Sarai mkewe, "tazama, najua kuwa wewe ni mwanamke mzuri. \v 12 Wamisri watakapokuona watasema, huyu ni mke wake, na wataniua mimi, lakini watakuacha wewe hai. \v 13 Hivyo wewe sema kuwa ni dada yangu, ili kwamba niwe salama kwa sababu yako, na kumba maisha yangu yatasalimika kwa sababu yako."