sw_gen_text_reg/11/31.txt

1 line
268 B
Plaintext

\v 31 Tera akamtwaa Abram mwanawe, Lutu mwana wa mwanawe Harani, na Sarai mkwewe, mke wa mwanawe Abram, na kwa pamoja wakatoka Ur wa Wakaldayo, kwenda katika nchi ya Kanaani. Lakini walipofika Harani wakakaa pale. \v 32 Tera akaishi miaka 205 kisha akafa hapao Harani.