sw_gen_text_reg/11/29.txt

1 line
197 B
Plaintext

\v 29 Abram na Nahori wakajitwalia wake. Mke wa Abram aliitwa Sarai na mke wa Nahori aliitwa Milka, binti wa Harani, aliyekuwa baba wa Milka na Iska. \v 30 Sasa Sarai alikuwa Tasa; hakuwa na mtoto.