sw_gen_text_reg/11/24.txt

1 line
248 B
Plaintext

\v 24 Wakati Nahori alipokuwa ameishi miaka ishirini na tisa, akamzaa Tera. \v 25 Nahori aliishi mika 119 baada ya kumzaa Tera. Akawazaa pia wana wengine wa kiume na wa kike. \v 26 Baada ya Tera kuishi miaka sabini, akamzaa Abram, Nahori, na Haran.